This essay has been submitted by a student. This is not an example of the work written by professional essay writers.
Uncategorized

GRAZING FIELD

Pssst… we can write an original essay just for you.

Any subject. Any type of essay. We’ll even meet a 3-hour deadline.

GET YOUR PRICE

writers online

 

EXT. VILLAGE, GRAZING FIELD, river – DAY

(V.O)

Susan Nyaga alikuwa mzaliwa wa kwanza katika familia ya watoto 11, alizingatia utii na bidii zaidi ya wote. Licha ya kuelimishwa, bado angeweza kutunza ng’ombe na kuchota maji kutoka kwenye mto bila kujumlisha.

SUSAN CARRYING A 20 LITERS BOTTLE OF WATER THAT’S EMPTY AS SHE WATCHES OVER SOME GRAZING COWS.

SUSAN NARRATION

MIN 00:00 – 02:44

SUSAN CAN BE SEE AT THE RIVER FETCHING WATER AND PLACING IT ON HER HEAD.

WE SEE HER COLLECTING AND CARRYING FIREWOOD.

WE SEE HER IN THE SHAMBA DIGGING.

INT. AUNTY’S HOUSE, KITCHEN – DAY

SUSAN NARRATION

MIN 02:49 – 03:54

A GLOOMY LOOKING SUSAN IS CLEANING THE DISHES WHEN HER AUNTY (40) ENTERS, LOOKING WITH A WIDE GRIN ON HER FACE HOLDING UP AN ENVELOPE.

AUNTY

Guess what?

SUSAN

Nini?

aunty

Niko na fantastic news.

AUNTY STRETCHES HER HAND AND HANDS THE ENVELOPE. SUSAN RINSES HER HANDS AND TAKE THE ENVELOPE. OPENING IT AND READS, HER FACE BRIGHTENS, AND SHE HUGS THE AUNTY.

AUNTY

Karibu kwa employment sasa.

SUSAN

Waah, asante Mungu. Sasa mtu anavaa nini akifanya kazi airport.

 

AUNTY

Hio isikusumbue, wewe enda huko na uchapee kazi kwa bidii vile wewe hufanya.

AUNTY TAKES THE ENVELOPE.

AUNTY

Haya wewe malizana na hizo viombo ukujee tuonee nini kwa closet yangu inaweza kusadia.

SUSAN CAN’T HOLD HERSELF AND JUMPS UP AND DOWN AS AUNTY LEAVES.

INT. AIRPORT OFFICE – DAY

SUSAN NARRATION

MIN 04:00 – 04:55

…Lakini, huyu kijana, wacha niseme kijana…

SUSAN IS TYPING SLOWLY USING ONE FINGER ON A TYPEWRITER WHEN A MAN (BABA TONY), WALKS UP, DRESSED INA SIMPLE SUIT.

BABA TONY

Kwani haukutoka kwenda lunch.

SUSAN

Aki leo sitaweza nimeshikika na kazi inahitajika by saa nane.

BABA TONY PLACE A BANANA ON THE DESK IN FRONT OF HER.

BABA TONY

Haya basi, wewe ngangana.

BABA TONY PLACES A BANANA ON THE DESK.

BABA TONY (CONT’D)

Weka kitu kwa tumbo, siwezi taka uangukee kabla haujanizalia kijana.

BABA TONY WINKS AND LEAVES. THE GESTURE IMPRESSES SUSAN.

int. baba susan’s home – day/village

CHARACTERS: SUSAN, BABA SUSAN, MAMA SUSAN

SUSAN NARRATION

MIN 04:56 – 05:48

 

Wakati niliambia wazazi wangu…

SUSAN IS SEATED ACROSS HER PARENTS.

MAMA SUSAN

Ulienda Nairobi kufanya kazi ama kutafuta bwana?

SUSAN

Haikuwa kitu nimepanga, hata mimi imenikuta ghafla nikasema niwaambie juu naona ni mtu ako na potential.

baba susan

Kwao ni wapi?

SUSAN

(Hesitant)

Ni wa nyanza.

MAMA SUSAN CAN’T BELIEVE HER EYES.

MAMA SUSAN

Nyanza, alafu ukuzeeka utaenda wapi?

SUSAN

Sielewi.

BABA SUSAN

Wewe wacha msichana afuate roho yake, mambo isipoenda vizuri atarudi, sijamfukuza kwangu.

MAMA SUSAN

Nimekata, sitaki hii maneno. Hii ni example gani unaonyesha wadogo wako?

MAMA SUSAN WALKS OFF. HER DAD STAY WITH HER DAUGHTER.

INT. SUSAN’S HOUSE, LIVINGROOM – NIGHT/ KALOLENI, NAIROBI

CHARACTERS: SUSAN, BABA TONY

SUSAN NARRATION

MIN 05:55 – 07:30

Wakati nilipata mimba…

SUSAN IS SEATED RUBBING HER PROTUDING BELLY WHEN BABA TONY WALKS UP TO HER CARRYING A PLATE OF FOOD. HE IS DRESSED FOR WORK.

 

BABA TONY

Sweetheart, kaa vizuri chakula imekuwa.

SUSAN SEATS UP AS THE HUSBAND PLACES THE FOOD ON THE TABLE.

SUSAN

Inanukia poa sana, wacha nikaoshe mkono.

BABA TONY

Wewe tulia.

BABA TONY RUNS IN AND BRINGS A JUG AND BASIC FOR HER TO WASH HER HANDS.

SUSAN

Hautachelewa kazi.

BABA TONY

Hapana, kuna ule jamaa anafanya cargo ako na nissan ya job na alisema akitokea town atanipitia twende pamoja.

THEY SEAT DOWN TO EAT.

SUSAN

Nitamuu, ukitoka job hata wewe utapanikutengenezea a special meal.

BABA TONY

Bora usiji-strain.

OUT.

INT. SUSAN’S HOUSE – DAY/ KALOLENI

CHARACTERS: BABA TONY, SUSAN’S SISTER(18), SUSAN

SUSAN NARRATION

MIN 07:35 – 11:10

We continued well…

A YOUNG LADY, SUSAN’S SISTER IS BENT OVER WASHING THE HOUSE, BABA TONY APPEARS FROM THE BEDROOM IN A TOWEL AND STOPS TO ADMIRE HER BEHIND. HE APPROACHES AND TAPS HER. SHE STANDS UP FEELING SHY.

BABA TONY

Na siku hizi umeongeza mwili. Wapi Tony?

 

susan sister

Ako nje, wacha nimlete.

BABA TONY

Wacha mtoto achezee na wenzake, na sisi watu wakubwa tucheze pamoja.

BABA TONY GRABS HER AND them TWO DROP ONTO THE COUCH. WE PUN UP TO THE DOOR TO SEE SUSAN WALKING IN.

SUSAN

Hodi huku.

SUSAN SPOTS THE TWO ON THE SEAT, SHE STANDS STILL FOR A MOMENT, DROPPING THE SHOPPING BAGS AND HER HANDBAG ONTO THE GROUND.

SUSAN

Baba Tony…

SUSAN SISTER

Siz, sio kile unafikiria.

SUSAN

Nyinyi malizeni, wapi mtoto wangu. Tony, Tony!

SUSAN PICKS THE THINGS SHE HAD DROPPED ON THE GROUND AND WALKS INTO THEIR BEDROOM CALLING OUT TONY’S NAME, SHE LEAVES THAT ROOM FOR THE NEXT AND FINALLY GOES OUTSIDE.

INT. BABA SUSAN’S HOME – DAY/VILLAGE

CHARACTERS: SUSAN, MAMA SUSAN

SUSAN NARRATION

MIN 11:11 – 13:30

Mimi nikaona bado haingiani…

SUSAN IS CRYING SEATED WITH HER MOTHER WHO IS FEELING SORRY FOR HER.

SUSAN

Mimi huyo msichana kwanzia leo sio dada yangu.

MAMA SUSAN

Usiseme hivyo, usisahau familia yako ndio mwishowe wanasimama kando ya kaburi yako.

 

SUSAN

Nilimfanyia nini kweli ndio anionyeshe hii madharau.

MAMA SUSAN

Ni ujinga ya utoto, usisahau hawa wanaume wana maneno matamu, sio ati namtetea lakini imefanyika, sasa ni tutafute vile maisha itaendelea.

SUSAN

Itanibidii niwache kazi nichunge Tony.

MAMA SUSAN

Hakuna haja ya hio, Aunty yako anakuja wacha atakusadia na hio maneno ya msichana.

SUSAN BURSTS OUT CRYING.

(V.O.)

 

Kama mwanamke yeyote Mkristo, Susan aligeukia sala ili kuona ikiwa ingebadilika mumeo, kwani hakuna kitu kingine alichofanya kilionekana kuwa kifanya kazi.

INT. SUSAN’S HOUSE, LIVINGROOM – NIGHT/ KALOLENI

CHARACTERS: SUSAN, BABA TONY

SUSAN NARRATION

MIN 13:30 – 14:53

Na ikawa sasa, hata yeye mwenyewe…

SUSAN IS ALONE IN THE HOUSE, READING A BIBLE AS SHE MEDITATES. ON THE TABLE THERE ARE SOME PLATES AND SERVING DISHES.

WE HEAR A BABY CRYING FROM ONE OF THE ROOMS. SHE LOOKS UP AT THE CLOCK IT’S MIDNIGHT. THE BABY CRIES LOUDER, FORCING SUSAN TO GO AND ATTEND TO IT.

 

AFTER SHE LEAVES THE ROOM, BABA TONY ENTERS THE HOUSE. WALKS TO THE TABLE, OPENS THE FOOD DISHES, HE IS DISINTRESTED IN WHATEVER HAS BEEN COOKED, SUSAN WALKS IN FROM THE BEDROOM ROCKING A BABY IN HER ARMS AND LOOKS AT HER HUSBAND WHO IS NOW SEATED WATCHING TV, OBLIVIOUS OF HIS WIFE BEHIND HIM.

INT. AIRPORT OFFICE – DAY

CHARACTERS: SUSAN’S SISTER, COLLEAGUE

SUSAN SISTER

MIN 14:54 – 16:42

Ikawa airport watu wanakuwa retrenched.

SUSAN IS GOING ABOUT HER WORK WHEN A COLLEAGUE WALKS UP TO HER.

COLLEAGUE

Tunaitwa na General Manager.

SUSAN

Nimfanya nini?

COLLEAGUE

Ni kila mtu sio wewe pekee yako. Twende, inakaa important.

SUSAN

I hope isikue mrefu juu niko na kazi mingi inaningoja.

SUSAN ARRANGES HER DESK AND THEY LEAVE.

ext. kaloleni, STREETS – day

CHARACTERS: SUSAN, NEIGHBOUR LADY(30)

SUSAN NARRATION

MIN 16:46 –

Ikafika mahali, nakumuambia…

SUSAN IS WALKING ALONG WITH ANOTHER LADY HER AGE-MATE FROM THE NEIGHBORHOOD.

SUSAN

Mimi naona sitawezana na hii maisha tena, huyu bwanangu ananipatia stress sana, heri nirudi kwetu.

 

neighbour lady

Alafu na watoto, unajua hawezi kubali uendee nao. Usisahau shule.

SUSAN

Hata kwetu kuna shule.

NEIGHBOUR LADY

Eeeh lakini opportunities Nairobi ni better na kwanza wako wako private school mzuri. Kaa juu yao. Watakushukuru siku moja.

SUSAN

Aki maisha ya wamama ni ngumu.

NEIGHBOUR LADY

Kweli kabisa.

THE LADIES WALK ON.

INT. SUSAN’S HOUSE, livingroom – night/ KALOLENI

CHARACTERS: SUSAN, TONY (10), SISTER(8) & BABA TONY

SUSAN NARRATION

MIN 17:20 – 17:48

Alikuja tu siku moja…

SUSAN IS SEATED WITH HER KIDS, (TONY & THE SISTER) AS SHE ASSISTS THEM WITH THEIR HOMEWORK. THEIR FATHER ENTERS THE HOUSE, and NO ONE IS EXCITED TO SEE HIM.

BABA TONY

Habari zenu?

all

Mzuri.

BABA TONY endeni mumalizie homework kwa bedroom nataka kuongea na mama yenu.

(Kids are hesistant)

Haraka.

THEIR MOTHER SIGNALS THEM TO EXCUSE THEM. WHEN THEY ARE GONE.

SUSAN

Sema nikuskia.

 

BABA TONY

So nataka tufanye wedding.

SUSAN WASN’T EXPECTING THIS AND DOESN’T KNOW HOW TO REACT.

BABA TONY (CONT’D)

As soon as possible, tuende kwa wazazi tumalizane na dowry na wedding right after.

SUSAN JUST LOOKS AT HIM.

(V.O.)

 

Susan hakutarajia harusi ibadilishe mumewe, lakini ingemruhusu kushiriki shughuli za kanisa zilizohifadhiwa kwa watu wa ndoa. Na hiyo ilikuwa kitu kizuri kutazamia mbele.

act 2

INT. BABA SUSAN’S HOME – DAY/VILLAGE

CHARACTERS: SUSAN(25), BABA SUSAN(50), MAMA SUSAN(45), SUSAN’S UNCLE(50), SUSAN AUNTY(40), BABA TONY(25), BABA TONY’S MOTHER (40)

SUSAN NARRATION

MIN 17:53 – 20:42

Wakati tuliamua na tukatangaza tunafanya harusi…

OPEN TO SUSAN, BABA SUSAN, MAMA SUSAN, SUSAN’S AUNTY, SUSAN UNCLE SEATED ACROSS BABA TONY, HIS MUM, UNCLE AND A FEW OTHER FAMILY MEMBERS THERE FOR DOWRY NEGOTIATIONS.

BABA SUSAN

Asante sana wageni kwa kuja, najua huku ni mbali na munakaribishwa. Nitawacha bibi yangu afugue na maombi alafu ndungu yangu ataongea.

MAMA SUSAN

Tufungueni macho tuombe, kwa jina la baba, na la mwana na la roho mtakatifu…

SUSAN’S FAMILY DO THEY CATHOLIC PROCEDURE OF PRAYER. AFTER SHE IS DONE PRAYING…

 

SUSAN’S UNCLE

Mumekaribishwa sana huku kwetu, mimi ni mzee so napenda kwenda straight to the point.

(Turn to Susan)

Susan msichana wangu, uko na uhakika kuwa uko tayari kuolewa. Nimeskia maneno machungu sana juu ya hii ndoa yenu ndio maana nauliza. Kama haujaskia swali nitarudia tena.

ALL EYES ARE ON SUSAN, AND SHE’S HESISTANT TO ANSWER TILL ONE OF BABA TONY’S UNCLES STAND.

BABA TONY’S UNCLE

Hio swali ni sio sawa kabisa, sisi familia yetu tumefurahia sana msichana wenu kuwa na sisi, amefanya kijana wetu kuwa a better man na tungependa aendele na hio kazi mzuri.

PEOPLE FROM TONY’S SIDE CONCUR WITH THE STATEMENT. SUSAN SMILES LIKING THE APPROVAL.

SUSAN’S UNCLE

Haya basi we can proceed.

OUT WITH FARTHER NEGOTIATIONS.

INT. baba susan’s home – continuos

CHARACTERS: SUSAN, SUSAN’S UNCLE

SUSAN NARRATION

MIN 20:44 – 21:16

Wakati niliwachwa…

A WHILE LATER THE NEGOTIATIONS ARE DONE, AND SUSAN IS LEFT WITH HER UNCLE.

SUSAN

Uncle, mbona hauku itisha zaidi kwa maneno ya dowry.

SUSAN’S UNCLE

Unajua mapeni ni kama mvua, hauwezu kuiambia pahali itanyesha.

SUSAN

Sielewi.

 

SUSAN’S UNCLE

In short, mko na kazi mingi kama familia, hakuna haja ya kuwafanyia maneno kuwa ngumu. Na ukumbuke dowry haishangi.

SUSAN IS STILL LOST BUT NODS.

INT. SUSAN’S HOUSE, LIVING-ROOM – DAY/ KALOLENI

CHARACTERS: SUSAN, BABA TONY, BABA SUSAN, MAMA SUSAN, SUSAN’S UNCLE, SUSAN’S AUNTY, EXTRA (5).

SUSAN NARRATION

MIN 21:17 – 22:44

Ikafika siku ya harusi…

SUSAN’S HOUSE IS A BEEHIVE OF ACTIVITIES WITH HER PARENTS, UNCLES AND AUNTY ALL IN THE HOUSE. BABA TONY ENTERS AND SIGNALS SUSAN TO JOIN HIM IN THE BEDROOM. THEY LEAVE THEIR GUESTS.

BABA TONY(V.O)

Nani alikuambia uletee watu wenu leo? Watalala wapi?

SUSAN(v.o)

Hatuwezi kosa pahali ya kulala.

BABA TONY(V.O)

Si tulikuwa tumekubaliana nitawakombolea matatu asubuhi wafikishwe.

SUSAN(V.O)

Mberee ni mbali, wangechoka sana.

BABA TONY(V.O)

Juu watu wangu wenye wanatoka nyanza asubuhi hawatachoka. Susana saa zingine tumia akili.

SUSAN LEAVES THE BEDROOM AND FINDS THE PEOPLE IN THE LIVINGROOM ATTENTIVE, THEY HAVE HEARD EVERYTHING.

INT. COUSIN’S HOUSE, BEDROOM – MORNING

CHARACTERS: SUSAN, COUSIN(A LADY – 30’S)

SUSAN NARRATION

MIN 22:44 – 23:11

 

So nililala na…

SUSAN IS DRESSED IN HER WEDDING DRESS SEATED ACROSS HER COUSIN A LADY. SUSAN EYES ARE PUFFY FROM CRYING THE WHOLE NIGHT.

COUSIN

Wacha kulia tafadhali, it’s your special day.

SUSAN

Aje, ona hata makucha yangu sijatengeneza.

COUSIN

Hio ni kitu kidogo, Baba Tony alikujua kabla ujue cutex. Sasa panguza machozi gari iko karibu kufika.

WE CAN HEAR PEOPLE OUTSIDE THE DOOR SEEING WEDDING SONGS, THE IS A TAP ON THE DOOR SIGNALLING THE LADIES IT’S TIME TO LEAVE.

INT. SUSAN’S HOUSE, livingroom – NIGHT/ KALOLENI

CHARACTERS: SUSAN, BABA TONY’S(V.O.), TONY

SUSAN NARRATION

MIN 23:15 – 23:57

In 2004, and 2003…

TONY IS COILED UP ON THE SEAT WATCHING TV. HIS PARENTS CAN BE HEARD ARGUING IN THE NEXT ROOM. TONY INCREASE THE VOLUME OF THE TV JUST AS SUSAN APPEARS IN HER SLEEPING DRESS WITH A PILLOW AND DUVET IN HER HAND. SHE NOTICES HER SON.

SUSAN

Baba zima TV uende ukalale.

tony

Mum unaweza lala kwangu, nitalala hapa kwa kiti.

SUSAN

Uko sure.

TONY NODS. SUSAN KISSES HER SON ON THE FOREHEAD AND WALKS TO HIS ROOM. WE CAN STILL HERE BABA TONY HAILING INSULTS FROM HIS ROOM.

 

EXT. SUSAN’S HOUSE – NIGHT

CHARACTERS: SUSAN, TONY & SISTER

SUSAN NARRATION

MIN 24:06 – 26:36

Tulikuwa tumeenda kwa my cousin…

SUSAN WITH HER KIDS WALK UP TO THE HOUSE. THERE ARE SOME CLOTHES ON THE HANGING LINE.

SUSAN

Tony ingia kwa nyumba uniletee karai ndio niwekee hizi nguo, naona zimekauka.

THE KIDS ENTER THE HOUSE AND CROSS PATHS WITH THEIR FATHER WHO LOOKS NERVOUS AND STARTS HELPING SUSAN REMOVE THE CLOTHES FROM THE HANGING LINE. SHE PUZZLED BY HER REACT.

SHE THEN NOTICES A FIGURE MOVING IN THE DARK.

SUSAN

Nani huyo.

BABA TONY

Wapi?

A LADY RUNS OFF AND MAMA TONY SCREAM RUNNING AFTER HER INTO HE DARKNESS. BABA TONY IS LEFT STANDING. WE HEAR SUSAN SCREAM AND RUNS BACK HER MIDDLE FINGER IS BLEEDING. THE KIDS ARE NOW OUTSIDE TRYING TO KNOW WHAT’S HAPPENING. IT.’S CLEAR BABA TONY KNOWS WHAT’S HAPPENING.

SUSAN

(At Baba Tony)

Wewe ni shetani, ibilisi.

OUT.

INT. HOSPITAL, RECEPTION AREA – DAY

CHARACTERS: SUSAN, DOCTOR

SUSAN NARRATION

MIN 26:40 – 28:24

In 2003 nika-conceive mtoto…

SUSAN IS SEATED ALONE WHEN A DOCTOR ENTER THE ROOM.

DOCTOR

Habari ya mama?

 

SUSAN

Wapi mtoto wangu? Nini mbaya na yeye.

DOCTOR

Nurse anamumalizia atakuwa na wewe in a moment. So mtoto wako ako na genetic disorder inaitwa Down syndrome.

SUSAN

Is it life threatening.

DOCTOR

No, lakini hatawahi enza kujifanyia kitu yoyote maisha yake yote. Good thing kuna madawa na njia za ku-manage. Wacha nurse atakuja kukuelezea. Niko na patient mwingine.

THE DOCTOR LEAVES SUSAN IN SHOCK, NOT SURE WHERE TO START.

INT. SUSAN’S HOUSE, LIVINGROOM – DAY/ KALOLENI

CHARACTERS: SUSAN.

SUSAN NARRATION

MIN 28:43 – 30:59

People stopped coming to my house…

SUSAN IS IN THE HOUSE ALONE, CRYING. SHE TAKES HER PHONE AND MAKES A CALL, AND IT GOES UNANSWERED, FRUSTRATING HER THE MORE.

BABA TONY EMERGES FROM THE BEDROOM COLLECTS HIS CAR KEYS FROM THE TABLE AND WALKS OUT WITHOUT SAYING A WORD TO HIS WIFE EVEN AFTER NOTICING SHE IS IN TEARS.

EXT. KALOLENI, STREETS – DAY

CHARACTERS: SUSAN, NEIGHBOR LADY(30), EXTRAS (4)

SUSAN IS WALKING ALONG AND SPOT HER NEIGHBOURHOOD FRIEND, WAVES AT HER, BUT SHE ACTS as SHE HASN’T SEEN HER. SHE LOOKS AROUND TO SEE HER NEIGHBOUR GOSSIPING ABOUT HER.

 

(V.O.)

 

Maisha ya Susan yalikuwa yamejaa giza. Alikuwa akitembea kama kipofu. Mtoto wake ndiye aliyeambukizwa, lakini yeye aliathiriwa kisaikolojia na kimwili.

act 3

INT. SUSAN’S HOUSE, LIVINGROOM – DAY/ KALOLENI

CHARACTERS: SUSAN, BABA TONY

SUSAN NARRATION

MIN 31:01 – 33:58

That time the child was nine months…

BABA TONY IS WATCHING TV WHEN SUSAN ENTERS TALKING ON THE PHONE.

SUSAN

(On phone)

…Thank you daktari, nitafanya hivyo.

SHE HANGS UP.

SUSAN(CONT’d)

Hata ni mzuri nimekupata hapa, so the doctor ameniambia I need to take mtoto hospitali for farther test.

BABA TONY

So nikusadiaje?

SUSAN

Nataka kadi ya insurance, kuna test kadha wanataka kufanya.

BABA TONY OPENS HIS WALLET AND PLACES THE CARD ON THE TABLE.

BABA TONY

Na nilikuambia hii yote ni juu yako, ile kitu ulifanya siku ya harusi ndio inakuja kukula. Huyo mtoto wako ndio punishment ya ujinga yako. Ulirogwa.

 

SUSAN

Mtoto wangu ama wetu.

BABA TONY IGNORES HER AND IS BACK TO WATCHING TV. SHE PICKS THE CARD AND LEAVES THE ROOM, TEARS FLOWING DOWN HER CHEEKS. BABA TONY CLICKS.

INT. SUSAN’S HOUSE, bedroom – DAY / KALOLENI

CHARACTERS: SUSAN, TONY & SISTER.

SUSAN NARRATION

MIN 33:58 – 34:47

This my son, and my daughter…

SUSAN IS ON HER KNEE CRYING TO GOD, TONY(12) AND HIS SISTER RUN IN BANGING THE DOOR. SUSAN WIPES HER TEARS AND STANDS TO ME THE KIDS WHO LOOK TROUBLED AND ALSO CRYING.

TONY

Mum?!

SUSAN

Ni nini, mutaamusha mtoto na nimetoka kumuekelea saa hii.

tony

Mum ni ukweli Pepe ni chizi.

SUSAN

Nani alikuambia hivyo?

tony

Spencer aliskia mamake akisema ati mtoto wetu ni chizi.

sister

Mum si ni uongo hio?

SUSAN TRIES TO FIND THE WORDS WHEN WE HEAR THE KID CRYING FROM THE NEXT ROOM. SUSAN LEAVES TO ATTEND TO THE CHILD. TONY AND THE SISTER REALIZE IT MIGHT BE THE TRUTH.

SUSAN(v.o)

Funguni hio mlango na musitoke nje tena.

OUT.

INT. SUSAN’S HOUSE, LIVING-ROOM – DAY/ KALOLENI

CHARACTERS: SUSAN, BABA TONY

 

(V.O)

Kwa sababu maisha yalikuwa yamemvunja moyo baada ya kupoteza kazi, Bab Tony alikuwa tayari kupokea ushauri. Kwani mwishowe kila mtu amealikwa kwenye karamu ya matendo yao ya zamani.

SUSAN NARRATION

MIN 34:47 – 38:19

2005, hata yeye aka-retrenchiwa…

OPEN TO SUSAN AND HER HUSBAND.

SUSAN

Sasa tutafanya nini?

BABA TONY

Ndio nafikiria.

SUSAN

Ona niko na idea, kuna ile kampuni nilikuwa nimefungua some years back. Si tunaweza itumie kutafuta tenders. I make you a partner.

BABA TONY

Iko up to date na taxes.

SUSAN

Kila kitu iko sawa. Wewe ukitumia connections zako niko sure na mimi wangu am sure we can do something.

BABA TONY

Itahitaji pesa ya kusukuma vitu.

SUSAN

Ukipata deal pesa hupatikana. ata kama ni kuuza property moja.

BABA TONY LIKES THE IDEA, NODDING.

int. baba tony’s car – day/ parking lot

CHARACTERS: BABA TONY, SUSAN

SUSAN NARRATION

MIN 38:22 – 39:06

Kitu bank ilikataa ni…

 

BABA TONY AND SUSAN ENTER THE CAR, THEY ARE DRESSED FOR BUSINESS AND ARE IN HIGH SPIRITS.

SUSAN

Waah kweli Mungu halali, so I think kwa hii pesa tutoe 50k tumwage mawe kwa ile ploti ya utawala.

BABA TONY

Kwanza nipatie hio pesa.

SUSAN

Si tufike nyumba kwanza.

BABA TONY

Siendi nyumbani. Niko ba biashara ingine nataka kuunganisha alafu nikuje nyumbani. Pesa.

SUSAN RETRIEVES AN ENVELOPE FROM HER BAG AND GIVE HIM.

SUSAN

So nipigie ule jamaa wa mawe ama utampigia.

BABA TONY

Nitamuongelesha.

BABA TONY REVERSES, AND THEY ARE OFF.

INT. SUSAN’S HOUSE, KID BEDROOM – DAY/UTAWALA

CHARACTERS: SISTER & TONY (16 & 18)

SUSAN NARRATION

MIN 39:08

There is one day…

THE KIDS ARE ON THE BED WATCHING A MOVIE ON THE LAPTOP.

TONY

Aki si kina mum waende walale ni watch movie kwa big screen mara moja.

SISTER

Hata mimi I would like to watch zangu, hizi actions zako-

WE HEAR A KID CRYING AND SCREAMING FROM THE NEXT ROOM. THE TWO GET UP AND RUN OUT.

 

INT. SUSAN’S HOUSE, LIVINGROOM – CONTINOUS/UTAWALA

SUSAN IS CARRYING A KID IN HER ARM COVERED WITH A LESSO FROM HEAD TO TOE CRYING. BABA TONY STANDS OVER THEM.

SUSAN

Baba Tony ni nini mtoto amekufanyia ndio ukamuumiza hivyo.

THE KID UNDER THE COVER IS CRYING AND SUSAN WORK TO CALM HER DOWN. TONY AND THE SISTER APPEAR.

BABA TONY

Analia nini sasa, nimemvuta tu?

SUSAN

Uko serious hauoni makosa hapo?

BABA TONY

Mbwa, usiniulize maswali ya ujinga, nita-deal na wewe pia.

BABA TONY TRIES TO REACH FOR THE KID AGAIN.

tony

Dad ni nini unauliza Pepe?

SISTER

Mtu hawezi kuji-defend.

BABA TONY

Hamutaniongelsha vile munataka mukiwa kwangu. My house, my rules. Mukitaka ndio hio mlango, nyinyi na huyu mama yenu mtu wa koinange.

THE KIDS GO AND SEAT AROUND THER MOTHER AND SISTER. BABA TONY BACKS DOWN AND WALKS OUT OF THE TO THE KITCHEN WHERE YOU HEAR HIM BREAKING DISHES.

BABA TONY(v.o)

Nikiwapata hapo nikirudi nitawamaliza.

SISTER

Dad tutaenda wapi saa hii?

BABA TONY APPEARS WITH A GLASS IN HAND.

BABA TONY

Ulizeni mama yenu, yeye anajua maneno ya kutembea usiku.

 

HE SMASHES THE GLASS ON THE FLOOR AND EVERYONE GETS UP. MAMA TONY PICKS UP THE KIDS THAT’S ROLLED IN A LESSO AND THEY ALL HEAD FOR THE DOOR.

EXT. UTAWALA, OPEN FIELD – DAY

CHARACTERS: SUSAN, OTHER LADIES WITH KIDS WITH DOWN SYNDROME(3)

WE SEE SUSAN SEATED INA CIRCLE WITH THREE OTHER LADIES, UNDER A TREE.

SUSAN

Karibuni kila mtu, kwa ule mgeni hapa jina yangu ni Susan Soya na pia mimi niko hapa juu mtoto ako na a mental disease, to be specific down syndrome. The group ni kutukumbusha hatuko pekee yetu. So tuanze na wewe.

POINTS AT A LADY BY HER SIDE.

LADY

Habari zenu, mimi naitwa Natasha. Na ukweli sikuwa nimeskia juu ya hii ugonjwa hadi ile siku daktari aliniambia.

lady 2

Hata mimi, niliambia watu wakasema hio ni kurogwa.

SUSAN

Hio ndio maana tuko hapa, juu watu wanahitaji kuelimishwa juu ya ugonjwa huu.

THE LADIES NOD AND WE ARE OUT.

(V.O)

Kuwa na watu wa kukuhimiza na kukufariji kama mzazi wa mtoto mwenye ugonjwa wa udumavu ulimpa Susan mapenzi ya kuishi. Alizidikupanua maarifa yake juu ya huo ugonjwa na kushiriki maarifa.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

  Remember! This is just a sample.

Save time and get your custom paper from our expert writers

 Get started in just 3 minutes
 Sit back relax and leave the writing to us
 Sources and citations are provided
 100% Plagiarism free
error: Content is protected !!
×
Hi, my name is Jenn 👋

In case you can’t find a sample example, our professional writers are ready to help you with writing your own paper. All you need to do is fill out a short form and submit an order

Check Out the Form
Need Help?
Dont be shy to ask